Jose Mourinho amng’ang’ania Ibrahimovic ‘Kadabra’

Mkufunzi wa klabu ya Manchester United Jose Mourinho anamtaka mshambuliaji wa klabu hiyo Zlatan Ibrahimovic kusalia katika klabu hiyo kwa mwaka mwengine mmoja. Ibrahimovic mwenye umri wa miaka 35 alijiunga na Manchester United akiwa mchezaji huru kutoka Paris-St Germain kwa kipindi cha …

Read More »

New Video: Timbulo – Mfuasi (Official Video)

Baada ya kufanya vizuri na wimbo wake wa “Usisahau”, This is another hit single by Timbulo performing the song Mfuasi … Audio produced by Maximizer & Mr. T-Touch.Video directed by Dr. Eddie at the Dreamland Music Entertainment in Nairobi. Chukua muda wako …

Read More »

Sakata la Askofu Gwajima na Polisi lachukua sura mpya

Wakili Peter Kibatala amesema polisi wamepiga picha nyumbani kwa Askofu wa Kanisa la Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima. Kibatala ambaye ni wakili wa Askofu Gwajima amesema jana kuwa mbali na kupekuwa na kupiga picha kila kona walikwenda …

Read More »

Video Mpya: Heri Muziki– Sweet Love

Kama wewe ni mshabiki wa muziki mzuri wa ‘malovidavi’ toka ladha za bongo,pata muda wako wa kuitazama video hii mpya kutoka kwa Msanii Heri Muziki akikwambia Sweet Love.

Read More »

Huu hapa ujio mpya wa ‘Radio’ ya Amini

Baada ya ukimya wa kitambo kirefu kwenye anga la muziki wa Bongo fleva,Msanii Amini Mwinyimkuu alimaarufu kama Amini ameamua kurudi tena katika masikio ya mashabiki wake. Katika kuhakikisha anakonga nyoyo za mashabiki wake waliomkosa kwa muda sasa ameachia wimbo wake mpya unaokwenda …

Read More »

Mohamed Iqbar afunguka kuhusu kutoa kiwanja feki kwa RC Makonda

Baada ya waziri wa ardhi William Lukuvi kudai eneo la ekari 1500 alilopewa RC Paul Makonda kwaajili ya ujenzi viwanda vidogo vidogo kuwa ni eneo la serikali, mmiliki wa eneo hilo mfanyabiashara Mohamed Iqbal ametoa vielelezo vya umiliki wa eneo hilo. Akizungumza …

Read More »

Irene Uwoya awaponda wasanii wanaoendeshwa na siasa

Baada ya kashikashi za hapa na pale ya wasanii wa bongo movie kuingia kwenye siasa huku Wema Sepetu akihamia CHADEMA na kusema anaidai CCM, swahiba wake, Batuli amekanusha. Wakati vita vya maneno vikiendelea, mwenzao, Irene Uwoya amewachana. Irene ametumia ukurasa wake wa …

Read More »

Yupi mkweli kwenye sakata hili la Wema na Batuli!

Wiki chache zilizopita kumekuwepo na mambo mengi ambayo yamekuwa yakitrend kwenye vichwa vya watu kama madawa ya kulevya, watu kupelekwa kuhojiwa na harakati za wanahabari kutaka kujua msanii gani atapanda mahakamani, lengo ni kutaka kuchukua matukio mbalimbali yatakayotokea maeneo hayo. Ukiacha na …

Read More »

Waziri Makame Mbarawa azindua uhamaji mtandao bila kubadilisha namba

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof.Makame Mbarawa Jumatano hii amezindua rasmi huduma ya kuhama kutoka mtandao mmoja wa simu kwenda mwingine bila kubadili namba ya simu ya kiganjani inayojulikana kitaalamu kama (Mobile Number Portability(MNP). Chini ni picha zaidi za uzinduzi huo. …

Read More »

Moses Iyobo agoma kumnunulia gari Aunt Ezekiel kwa kuhofia michepuko

DANSA maarufu wa Kundi la Wasafi Classic Baby (WCB), Moses Iyobo amefunguka kuwa kamwe hawezi kumnunulia gari mzazi mwenziye, Aunt Ezekiel kwa kuwa anaogopa atapandisha michepuko yake. Iyobo alifunguka hayo juzikati alipokuwa akipiga stori mbili tatu na Global Publishers ambapo alisema kwa …

Read More »

Mama Salma Kikwete ‘Atinga’ Bungeni serikali ya JPM

Aidha Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Ikulu ametoa marekebisho ya taarifa hiyo na kusema kuwa, Rais Magufuli amemteua Mama Salma Kikwete kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na siyo Mbunge wa Viti Maalum kama ilivyoripotiwa hapo awali.

Read More »

Vee Money na Ruby wapata shavu ndani ya Woman

Mwanamuziki anayefanya vizuri katika Bongo Fleva kwa sasa, Vanessa Mdee maarufu kama Vee Money na chipukizi Ruby, wameitwa kushiriki uzinduzi wa albamu ya saba ya mkongwe Lady Jaydee iitwayo Woman. Akiteta na Risasi Vibes juzi, mkongwe huyo alisema ni albamu ambayo angependa …

Read More »

Alikiba akifanya haya ataweza kumfunika Diamond Kimuziki

ALLY Saleh Kiba, ni msanii mkubwa katika ukanda wa Afrika Mashariki. Ni mtu ambaye hana historia ya Bongo Fleva au chuki tu, ndiye anaweza kumbeza mwanamuziki huyu mwenyeji wa Mkoa wa Kigoma. Ni miongoni mwa wasanii wachache sana waliowahi kutangulia mbele, wenzake …

Read More »